Kauli hiyo wameitoa leo Februari Mosi, 2025 katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe robo ya pili ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro imesema kuwa hali ya ulipaji kodi katika wilaya hiyo ni ...
Al Jazeera imeripoti kuwa miongoni mwa mateka wa Israel waliokuwa Gaza walioachiwa leo Jumamosi Februari Mosi, 2025, ni raia ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani humo, wastani wa 12 hutumika kila siku huku ...
Inaelezwa kuwa malori karibu 100 yakiwa na shehena za mizigo yaliyotoka hapa nchini yamekwama DRC huku mengine yakishindwa ...
Baada ya Yanga kupata bao la kuongoza, iliendeleza mashambulizi langoni mwa Kagera Sugar na dakika ya 35 ilifanya shambulizi ...
Kinda huyo aliyeitumikia Arsenal akichezea vikosi vya vijana kwa miaka mitano, amesema kuwa amefurahia kujiunga na Manchester ...
Katika maandalizi ya kurejea kuanzia mwezi huu, Shirika la Masoko Kariakoo ambalo ndilo linalosimamia soko hilo, jana Januari ...
Wakizungumza na Mwananchi leo, Februari 1, 2025 kwa nyakati tofauti, baadhi ya wananchi hao wamesema awali walikuwa wakinunua ...
Awali Mei 14, 2021, Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga ilimhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumkuta na hatia ya ...
Wilaya ya Kilindi imekuwa na changamoto ya migogoro ya ardhi ya mara kwa mara inayosababisha mapigano kati ya wakulima na ...
Wakizungumza leo Januari 31 katika kikao cha bajeti, baadhi ya madiwani wamesema stendi ya mabasi ya Mji wa Mbalizi haifanani na hadhi ya wilaya hiyo licha ya kuwa sehemu ya kuingiza fedha ...