RWANDA : RAIS wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani ya kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Katika mazungumzo hayo, Kagame hakuashiria ...
RWANDA : JESHI la Ulinzi la Rwanda (RDF) limethibitisha kwamba raia watano wa Rwanda waliuawa kwa makombora yaliyorushwa na jeshi la Congo tarehe 27 Januari. Msemaji wa RDF, Brigedia Jenerali Ronald ...
Ku mupaka wa Gisenyi na Goma uzwi nka La Corniche abarwanyi b'Iburayi bakiriwe mu Rwanda bavuye i Goma nyuma ... ibifurumba by'amadorali y'Amerika. Amakuru y'ibinyamakuru byo muri Romania avuga ...
Nyuma yo kubohora Umujyi wa Goma, abarwanyi ba M23 bambuye Ingabo za Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, RDC, FARDC n’abarwanyi b’Umutwe w’Iterabwoba ... imbunda za rutura zirimo izirasa ...
Katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililokaa jana Jumapili Januari 26 kuanzia asubuhi hadi majira ya mchana kwa saa za New York, Marekani, nchi majirani; Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Huku wakisaidiwa na maelfu kadhaa ya askari wa Rwanda, waasi wa M23 katika siku za karibuni wamesonga mbele kwa kasi wakikabiliana na wanajeshi wa Kongo wanaoulinda mji huo.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mchana huu kwa saa za New York, jijini Marekani, wakati huu ambapo hali ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC inazidi kuzorota, uwanja wa ndege ...
Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea. Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) karibu na mji wa Goma uliojaa majeshiumefungwa Jumatatu ...
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi hakuhudhuria. Rais wa Rwanda alikuwa na maneno makali hasa kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na maafisa wa Afrika Kusini, wanaotuhumiwa "kupotosha ukweli ...
Soma pia#kinshasa: Usafiri watatizika wakati wa maandamano ya kupinga uvamizi wa Rwanda. Waliojitokeza kuandamana pia wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Marekani na Ufaransa ambapo pia walichoma ...