Marekani imeonya kuhusu uwezekano wa kuwekewa vikwazo maafisa wa Rwanda na Kongo kabla ya mkutano wa kilele unaonuiwa kushughulikia mzozo unaoongezeka mashariki mwa Kongo, kulingana na barua ya ...
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kwa urahisi Ijumaa, Februari 7, kwa ufunguzi wa uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanyika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ...
Msemaji wa Naibu wa Vikosi vya Ulinzi vya Uganda ameiambia BBC kwamba jeshi la Uganda linadumisha tu wanajeshi waliopelekwa DRC chini ya operesheni ya pamoja na vikosi vya Congo. Na Rashid ...
Kuwasaka na kupigana na wanamgambo ambao ni tegemeo kwa kundi la Dola la Kiislamu (IS) barani Afrika inaweza kuwa kazi ngumu kwani wanajificha mbali kwenye milima ya kaskazini-mashariki mwa Somalia.