Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Kongo Félix Tshisekedi watashiriki katika mkutano usio wa kawaida wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika ...
Marekani imeonya kuhusu uwezekano wa kuwekewa vikwazo maafisa wa Rwanda na Kongo kabla ya mkutano wa kilele unaonuiwa kushughulikia mzozo unaoongezeka mashariki mwa Kongo, kulingana na barua ya ...
Hayo yameelezwa na mbunge wa jimbo hilo David Sikuli, ambaye ameitolea wito serikali ya Congo kuruhusu kutanuliwa kwa operesheni za pamoja Jeshi la Congo na Uganda hadi kwenye maeneo yote ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...
CONGO : MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kusini mwa Kivu, licha ya tangazo la waasi la kusitisha mapigano kwa sababu za ...
Msemaji wa Naibu wa Vikosi vya Ulinzi vya Uganda ameiambia BBC kwamba jeshi la Uganda linadumisha tu wanajeshi waliopelekwa DRC chini ya operesheni ya pamoja na vikosi vya Congo. Na Rashid ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani limeeleza wasiwasi wake kuhusu ugumu wa ufikiaji wa wanaohitaji msaada mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ongezeko la ...
Mbowe ni miongoni mwa wagombea watatu wanaowania uenyekiti wa Chadema akiwamo makamu wake bara, Tundu Lissu katika uchaguzi utakaofanyika Januari 21, 2025 ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果