Baada ya kuteka mji wa Goma ambao ndio mkubwa eneo hilo, kundi hilo likajitapa kwamba sasa linajipanga kwenda hadi Kinshasa, yaani kupindua Serikali.
Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na ...
Marekani imeonya kuhusu uwezekano wa kuwekewa vikwazo maafisa wa Rwanda na Kongo kabla ya mkutano wa kilele unaonuiwa ...
Wakuu wa nchi za EAC na SADC wanatarajiwa kukutana Jumamosi hii jijini Dar es Salaam, Tanzania, kujadili mgogoro wa mashariki ...