HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi ...
CONGO : MAKUMI ya watu wamejeruhiwa na wengine wengi kulazimika kuhama makazi yao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano ya jeshi la Congo na wapiganaji wa M23. Katika wiki ...
Mwaka 2018, ikashiriki tena na kupangwa kundi D na kumaliza nafasi ya tatu na pointi mbili, nyuma ya Congo iliyomaliza kinara na pointi saba, ikifuatiwa na Angola iliyokuwa na pointi tano, huku ...
Wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, Simanjiro na Manyara wamenufaika na huduma za mawasiliano ya kasi ya 4G na 5G inayotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Yas. Hatua hiyo imelenga ...
CONGO : WATU 10 wameuawa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wenye itikadi kali wenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu (IS). Waasi hao wa ADF ...
Mwaka 2018, ikashiri tena na kupangwa kundi 'D' na kumaliza nafasi ya tatu na pointi mbili, nyuma ya Congo iliyomaliza kinara na pointi saba, ikifuatiwa na Angola iliyokuwa na pointi tano, huku ...
“Utakuwa mchezo mgumu natambua Bravos wanacheza nyumbani na wanahitaji alama tatu ila tunajua malengo ya Simba ni kufanya vizuri.” Mavambo mwenye uraia wa Angola na Congo, akijiunga na Simba msimu huu ...
Pia, asasi hizo zimetangaza maandamano ya siku tatu mfululizo kwenye mpaka wa Congo na Rwanda kuanzia hii alhamisi, ili kupinga kile zinachokiita kuwa uvamizi wa Rwanda katika maeneo ya mashariki ...