MKALI wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi hilo na akiwa pekee yake akifanya kazi na wasanii wa ndani na kimataifa.
Ajali hiyo ilitokea siku ya Jumanne, Januari 21, ambapo basi iligongana na lori la mizigo na hivyo kusababisha watu kupoteza maisha magharibi mwa Côte d’Ivoire. Ajali hiyo ilitokea mwendo wa ...
Wimbo huo, Watoto wa Mungu (2013) ilitoka chini ya Bongo Records kwa P-Funk Majani. 5. Wimbo wa kwanza kuwapatia mafanikio ni Gere (2013) uliojumuisha wasanii watatu, G Nako, Nikki wa Pili na Joh ...
Dar es Salaam. Mwimbaji wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, 45, mwaka huu unaadhimisha miaka 25 tangu ametoka kimuziki na sasa anaheshimika na wengi kama msanii aliyeweza kuwa katika kilele cha mafanikio ya ...
Rapcha ni miongoni mwa wasanii wa Hip-hop wa New Generation ambaye kabla ya kuanza kujitegemea kimuziki 2025 alikuwa chini ya lebo ya Bongo Records ambayo inamilikiwa na mtayarishaji nguli wa muziki ...