Hii leo huko Beni mji ulioko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumefanyika hafla ya kumsimika Gavana mpya wa kijeshi ... MONUSCO ofisi ya Beni na wawakilishi wa mashirika ya Umoja wa ...
Rais wa Burundi ameonya kwamba mzozo unaoendelea kuongezeka mashariki ya DRC huenda ukawa wa kikanda. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, waliripotiwa kuinga katika Mji Mkuu wa Kivu ...