Mgogoro wa kibinadamu unazidi kuongezeka nchini Haiti huku makundi yenye silaha yakiendelea kutekeleza ukatili wa kutisha dhidi ya watoto limesema leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto ...
IJUMAA siku ya mwisho mwezi uliopita, Januari 31, gazeti la Nipashe lilichapisha makala inayosomeka "Kinamama kwenye ajira wenye watoto njiti, namna wanavyoteseka kazini wakiwa na vichanga’..." Makala ...
Hoja hiyo imekuwa ikipigiwa chapuo kwa muda mrefu na Taasisi ya Doris Mollel, Mtandao Haki ya Afya ya Uzazi, TWPG, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) ili kulinda ustawi na afya za ...
Mwanza. Wamepatikana. Ndilo neno lenye uzito wa kuelezea taarifa ya Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusu kupatikana watoto wawili waliotekwa wakiwa kwenye basi la shule jijini hapa. Magreth Juma (8) anayesoma ...
Maelezo ya picha, Safaa, msichana kutoka Sudan mwenye umri wa miaka 14, anaonekana kwenye kambi ya wakimbizi akiwa na watoto wengine watano. Safaa amevaa vazi jeupe na hijabu. Tareq na Safaa ni ...
Rais wa Marekani Donald Trump amechukua hatua ya kwanza katika kile ambacho wengi wanakielezea kama vita vya kibiashara na baadhi ya washirika wakubwa wa kiuchumi nchini humo. Ingawa Rais Trump ...
Canada na Mexico ni miongoni mwa washirika wakubwa wa Marekani katika biashara ya chuma na aluminium, na Canada ikiwa ni msambazaji mkuu wa aluminium kwa Marekani. Hatua hii inatumiwa na Trump kama ...
Watoto wanahangaika wakiwa wameshikwa mikono na mama zao ... Wanapata hasira kali ya walichokishuhudia na inakuwa kama msukumo katika mioyo yao kutorudi nyuma tena. Haishangazi kuona kuna mastaa wengi ...
KUNA msemo maarufu kwenye ulimwengu wa idara ya ufundi katika soka kwamba “makocha huajiriwa ili wafukuzwe.” Msemo huu unamaanisha kwamba maisha ya makocha kwenye timu hayana uhakika wa kuwa marefu, ...