Ifuatayo ni tathmini ya namba kwa mambo tofauti yahusuyo Yanga katika mashindano hayo ambayo yana hadhi ya juu zaidi kwa soka la ngazi ya klabu barani Afrika. Idadi ya michezo ya hatua ya makundi ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku ...