Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
LIVERPOOL, ENGLAND: KIUNGO, Ryan Gravenberch amekiri kwamba staa wa zamani wa Liverpool, Sadio Mane ndiye aliyemshawishi kuhama kutoka Bayern Munich kwenda kukipiga Anfield mwaka 2023. Staa huyo wa ...
Dar es Salaam. Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kueleza moto uliowaka mwaka 2021 katika Soko la Kariakoo ulichomwa kwa makusudi, umeibua maswali tata. Maswali hayo, yamejikita katika muktadha wa ...
Takwimu za nishati barani Afrika zinaonyesha kuwa hadi mwaka 2022, asilimia 83 ya watu milioni 685 walikuwa bado hawajafikiwa na nishati ya umeme.
Suala la unyanyasaji wa kijinsia limeenea katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, ambapo mwaka jana, polisi waliwafyetulia mabomu ya machozi wanaharakati walipojaribu kuandamana katika mji mkuu wa ...
kufanyika katika historia tangu michuano hiyo ilipoanzishwa mwaka 1957. Timu 24 zilizofuzu zitapangwa katika vyungu vinne vyenye timu sita kulingana na ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), ...
Hata hivyo, ni nishati ya fukwe zilizojaa watu na muziki wa kupendeza ambao hufafanua Mkesha wa Mwaka Mpya katika Koh Phangan. Shirika linapendekeza kupanga mapema, kwani miundombinu ya kisiwa hicho ...
Aidha alisema mashtaka mengine 49 yanafanana na shtaka la kughushi kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2022. Mwendesha mashtaka huyo alisema kwa kosa la kwanza ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mithani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka 2024, yakiwa na sura ya furaha na vilio. Ni furaha kwa watahiniwa 477,262 kati ya ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Tunachambua hatua ...