RWANDA : RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesisitiza kuwa serikali ya Rwanda haitoi msaada kwa wapiganaji wa kundi la M23 wanaosababisha ghasia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kama ...
Afisa mmoja Samuel Kagheni, amelieleza shirika la habari la AFP kwamba waasi hao waliwaua watu wanane katika kijiji cha Bilendu. Watu wengine wanne waliuawa katika kijiji cha Mangoya, huku waasi ...