Abanye-Congo baba mu mahanga n’itangazamakuru. Nyuma yo kubona ko ibikorwa biganisha ku gushaka amahoro arambye mu Karere byagonze urukuta, u Rwanda rwasabye Guverinoma ya RDC kuganira na M23 mu ...
U Rwanda na Türkiye byasinyanye amasezerano arimo imikoranire hagati y'Urwego rw'Igihugu rw'Itangazamakuru, RBA na Turkish Radio and Television Corporation; ubutabazi ku mpanuka z'indege za gisivili n ...
Katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililokaa jana Jumapili Januari 26 kuanzia asubuhi hadi majira ya mchana kwa saa za New York, Marekani, nchi majirani; Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
CONGO: JAMHURI ya Kidemokrasi ya Congo imetoa wito Rwanda iwekewe vikwazo na kupunguziwa misaada na pia isimamishwe ushiriki wake katika misheni za kulinda amani UN kwa jukumu ambalo inadaiwa ...
Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wakiwasili hapa Rwanda kwenye mji wa mpakani wa Rugerero, ambako wanapokelewa baada ya kukimbia machafuko kwenye mji wa Goma, ambao sasa unashikiliwa na ...
Na mwanahabari wetu maalum mjini Kinshasa, Alexandra Brangeon Wiki moja baada ya kuanza kwa mashambulizi ya M23, yakiungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, dhidi ya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Kongo Félix Tshisekedi watashiriki katika mkutano usio wa kawaida wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika ...
Mzozo huu unaweza kuikosesha Rwanda misaada ya mamilioni ya dola kutoka kwa washirika wake wa Magharibi baada ya kuonekana kukaidi miito ya kuondoa wanajeshi wake huko Kongo na kuacha kuwaunga ...
Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) “ni tatizo kubwa sana.” Trump amebainisha hilo Alhamis Januari 30, 2025 akijibu ...
imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea huko Goma, ambako waasi wa M23 wanadai kuteka mji huo. Msemaji wa serikali ya Congo, Patrick Muyaya, amesema vikosi vya ...