Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mw ...