Hali iliendelea kuwa ya sintofahamu kwa sehemu ya siku Jumanne, Januari 21 mashariki mwa DRC. Kabla ya jeshi kuthibitisha hilo katika taarifa iliyochapishwa mchana, vyanzo kadhaa viliripoti mapema ...
Taarifa iliyotolewa na Amnesty International Jumatatu, inasema zaidi ya raia 100 waliuawa mashariki mwa Congo mwaka 2024. Ripoti hiyo inaeleza kuwa Jeshi la Congo pamoja na waasi wa M23 wanahusika na ...
Mbowe ni miongoni mwa wagombea watatu wanaowania uenyekiti wa Chadema akiwamo makamu wake bara, Tundu Lissu katika uchaguzi utakaofanyika Januari 21, 2025 ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Hayo yameelezwa na mbunge wa jimbo hilo David Sikuli, ambaye ameitolea wito serikali ya Congo kuruhusu kutanuliwa kwa operesheni za pamoja Jeshi la Congo na Uganda hadi kwenye maeneo yote ...
Lengo: kuweka eneo hilo chini ya himaya ya jeshi la FARDC kutoka mikononi mwa M23. "Operesheni hii inalenga kujibu kila ukiukaji wa usitishaji mapigano unaofanywa na jeshi la Rwanda na washirika ...