kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya kuwaaga na kuwaombea heri wanapoelekea kujiunga na kambi ya mafunzo inayoendelea mkoani Tanga kwa muda wa wiki moja. Kikao ...
Mkuu wa mambo ya sera za kigeni wa EU Kaja Kallas katika taarifa yake ameeleza kwamba wamesikitishwa na kuendelea kuongezeka kwa mapigano mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Taarifa ya ...
Tangu kuvunjika kwa mazungumzo ya amani yaliokuwa yakiongozwa na Angola mwaka uliopita, Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda, wameripotiwa kuchukua udhibiti wa baadhi ya ...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya ... ya Congo, DRC, MONUSCO, umethibitisha kuwa waasi wa M23 wametwaa baadhi ya maeneo jimboni Kivu Kusini, miongoni mwao ikiwa mji wa ...
Walinda amani kadhaa wa Umoja wa Mataifa wameuawa mashariki mwa DRC katika mapigano makali kati ya jeshi na M23. Maelfu ya raia ... Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) yakielekea kutekeleza ...
CONGO : MAKUMI ya watu wamejeruhiwa na wengine wengi kulazimika kuhama makazi yao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano ya jeshi la Congo na wapiganaji wa M23. Katika wiki ...
Mwaka 2018, ikashiriki tena na kupangwa kundi D na kumaliza nafasi ya tatu na pointi mbili, nyuma ya Congo iliyomaliza kinara na pointi saba, ikifuatiwa na Angola iliyokuwa na pointi tano, huku ...
Mwaka 2018, ikashiri tena na kupangwa kundi 'D' na kumaliza nafasi ya tatu na pointi mbili, nyuma ya Congo iliyomaliza kinara na pointi saba, ikifuatiwa na Angola iliyokuwa na pointi tano, huku ...