Ajali hiyo ilitokea siku ya Jumanne, Januari 21, ambapo basi iligongana na lori la mizigo na hivyo kusababisha watu kupoteza maisha magharibi mwa Côte d’Ivoire. Ajali hiyo ilitokea mwendo wa ...
MKALI wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi hilo na akiwa pekee yake akifanya kazi na wasanii wa ndani na kimataifa.
WINGA wa Bayern Munich, Nestory Irankunda mwenye asili ya Tanzania ametolewa kwa mkopo na klabu hiyo kwenda Grasshopper Club Zurich ya Uswisi. Irankunda ni mzaliwa wa Tanzania mkoani Kigoma ambako ...