Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
Suala la unyanyasaji wa kijinsia limeenea katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, ambapo mwaka jana, polisi waliwafyetulia mabomu ya machozi wanaharakati walipojaribu kuandamana katika mji mkuu wa ...
kufanyika katika historia tangu michuano hiyo ilipoanzishwa mwaka 1957. Timu 24 zilizofuzu zitapangwa katika vyungu vinne vyenye timu sita kulingana na ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), ...
Hata hivyo, ni nishati ya fukwe zilizojaa watu na muziki wa kupendeza ambao hufafanua Mkesha wa Mwaka Mpya katika Koh Phangan. Shirika linapendekeza kupanga mapema, kwani miundombinu ya kisiwa hicho ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mithani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka 2024, yakiwa na sura ya furaha na vilio. Ni furaha kwa watahiniwa 477,262 kati ya ...
Aidha alisema mashtaka mengine 49 yanafanana na shtaka la kughushi kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2022. Mwendesha mashtaka huyo alisema kwa kosa la kwanza ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko ...
Baada ya kipindi cha kila miaka mitano, chadema hufanya uchaguzi kuwachagua viongozi wapya ambapo zoezi la mwaka huu lilianza siku ya Jumanne ya wiki hii. Lissu, ambaye alikuwa mgombea wa urais wa ...
Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye, toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
Mnamo mwaka 2018, alitoa mahojiano kwa Gazeti la New York Times. Lakini kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2011, amekubali kuzungumza na chombo cha habari kuhusu madai ya ufadhili wa kampeni ya urais ...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha inatarajia kukusanya sh bilioni 100 kila mwaka kutokana na uwekezaji wa dola 20 milioni uliofanywa na kampuni ya ITHUBA Tanzania, iliyopata leseni ya miaka nane ...