Wakati huo huo, waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amekanusha shutuma za SADC kwamba jeshi la nchi yake limeshirikiana na waasi wa M23 katika kushambulia vikosi vya Congo, wanachama wa SADC na raia ...