CONGO : MAKUMI ya watu wamejeruhiwa na wengine wengi kulazimika kuhama makazi yao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano ya jeshi la Congo na wapiganaji wa M23. Katika wiki ...
Miaka miwili tangu kuanza kwa mzozo wa kijamii kati ya jamii za Mbole na Lengola katika jimbo la Tshopo, kaskazini-kati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hali ya kuishi kwa pamoja bado ni ...
CONGO : WATU 10 wameuawa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wenye itikadi kali wenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu (IS). Waasi hao wa ADF ...
Baganiriye ku ngingo zitandukanye zirimo ikoranabuhanga mu buvuzi, guhugura abakora mu buvuzi ndetse no gushyira ingufu mu buvuzi bw’ibanze. U Rwanda na Togo bisanzwe bifitanye umubano mwiza ndetse ...
U Rwanda ruritegura kwakira Inteko Rusange ya 26 y’Umuryango uhuza Abayobozi bakuru ba Polisi mu Karere ka Afurika y’Iburasirazuba (EAPCCO) iteganyijwe kuba tariki ya 26 Mutarama kugeza ku wa 31 ...
Thérèse Kayikwamba alizungumza kuhusu hatua zilizochukuliwa na DRC kupata vikwazo dhidi ya Rwanda. Alitaja hasa ripoti ya kundi la wataalam wa Umoja wa Mataifa, ambayo inaandika ukiukaji ...
Pia, asasi hizo zimetangaza maandamano ya siku tatu mfululizo kwenye mpaka wa Congo na Rwanda kuanzia hii alhamisi, ili kupinga kile zinachokiita kuwa uvamizi wa Rwanda katika maeneo ya mashariki ...
Stars ilianza michuano ya mwaka huu kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco kabla ya kuja kutoka sare ya bao 1-1 na Zambia na kutoka suluhu na DR Congo. Matokeo hayo, yameifanya Stars kumaliza Kundi F ikiwa ...