Baada ya kuteka mji wa Goma ambao ndio mkubwa eneo hilo, kundi hilo likajitapa kwamba sasa linajipanga kwenda hadi Kinshasa, yaani kupindua Serikali.
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefayika siku ya Jumamosi Februari 8 katika ...
Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na ...
Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na ...
MAREKANI imezionya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwamba upo uwezekano wa kuwawekea vikwazo maofisa wao.
Inkuru nyamukuru yitezwe nyuma y'inama y'abakuru b'ibihugu bigize EAC n'ibigize SADC, mu gihe iyi miryango isa n’itabona ...
SERIKALI ya Congo imesema kuwa taarifa kuhusu kusitishwa kwa mapigano yaliyotangazwa na waasi wa M23 mashariki mwa nchi hiyo ...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea k ...
WAASI wa M23 wametangaza kusitisha mapigano leo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuruhusu misaada ya kibinadamu ...
Rwanda siku ya Jumapili imekaribisha wito wa mkutano wa kilele wa makundi mawili ya kikanda ya Afrika kujadili mzozo unaozidi ...