JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema limewapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa, kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma, yaliyofanywa na ...