Baada ya kuteka mji wa Goma ambao ndio mkubwa eneo hilo, kundi hilo likajitapa kwamba sasa linajipanga kwenda hadi Kinshasa, yaani kupindua Serikali.
Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na ...
Mzozo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo "umeongeza" hatari ya kuenea kwa magonjwa, ikiwa ni pamoja na Kipindupindu, Malaria, Kifua kikuu na virusi hatari vya Mpox, Shirika la Afya Duniani ...
Wakuu wa nchi za EAC na SADC wanatarajiwa kukutana Jumamosi hii jijini Dar es Salaam, Tanzania, kujadili mgogoro wa mashariki ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果