Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Samatta jana aliisaidia timu yake ya Paok kupata pointi tatu muhimu ...
Wakati mashabiki wa Mtibwa Sugar wakianza hesabu za vidole kwa chama lao kurejea tena Ligi Kuu, kocha wa timu hiyo Awadh Juma ...
BAO la dakika ya 88 lililofungwa na nyota wa zamani wa Yanga, Deus Kaseke limetosha kuipatia ushindi Pamba Jiji wa 1-0, dhidi ...
Siku chache baada ya kocha wa Simba, Fadlu Davids kupiga chini ofa ya kujiunga na FAR Rabat, timu hiyo ya Morocco imemchukua ...
KIUNGO wa Barcelona na Uholanzi, Frenkie de Jong, 27, amepewa ruhusa ya kuondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa atapata timu itakayokuwa tayari kumnunua.
LICHA ya kuwa na msimu mzuri katika michuano yote ikiwa pamoja na kuongoza msimamo wa Ligi Kuu England, Liverpool inatarajiwa ...
STRAIKA wa Bayern Munich, Harry Kane amefunguka kuhusu mustakabali wake kwenye kikosi cha Bayern Munich baada ya kugundulika ...
SHIRIKISHO la Soka la Cameroon (Fecafoot) liko katika mgogoro mkubwa na klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo, zikigomea ...
INAITWA kukerana, lakini sasa nadhani inafika mbali hasa katika mitandao hii ya kijamii. Yanga wanatumia kila wanachoweza ...
DABI ya watani wa jadi inayowakutanisha Simba na Yanga itapigwa Machi 4 baada ya mapumziko ya siku 30 ya Ligi. Dabi hiyo ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inapigwa siku nne tu kabla ya watani hao ...
KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema 'Mourinho' amesema ushindi wa mechi nne mfululizo kwenye ligi zinachangiwa na juhudi za ...
WAKATI Ligi ya Wanawake ikisaliwa na mechi sita, Ligi ya Mkoa nayo ikitarajiwa kuanza, Ukerewe Queens ambayo kwa sasa inaitwa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果